Mwaka
1990, mwezi na siku kama ya leo Mrs. Abraham Sepetu ama (Mama Sepetu)
alipata bahati ya kujifungua mtoto wa kike ambae alimtunuku jina la Wema
Abraham Sepetu, Mtoto ambae Nyota yake ilianza kama masihara tu pale
aliposhinda taji la Miss Tanzania 2006, kisha baadae kuingia katika
Muvie Industry kama utaniutani vile na ghafla kuwa DIVA wa Tasnia hiyo,
na licha tu ya udiva pia kuwa ICON wa Tanzania.Siku hii ya leo ya tarehe
28/09/ anazaliwa upya na kutimiza miaka 22.Honestly nina furaha sana na
kila sababu yakusema "Happy Birthday Sepetu wa Sepetunga"....coz
kiukweli ni mtu ambae kwa namna moja au nyinge anamchango mkubwa sana
katika Mafanikio yangu hadi kufikia hapa nilipo, Sikuzote amekua akinipa
Moyo, Motisha,Nguvu na kunisupport kwa hali na mali ili tu niweze
kufika Mbali zaidi..toka kwenye "Upenzi" hadi leo kwenye "Cousins" mixer "Ushemlake"
ni mbali sana nimetoka nae...narudia tena kusema nina BOOooonge la
furaha na kila sababu ya kumwambia "Happy birthday Sepetu wa sepetunga"
wish you all the best mama.....Maisha marefu yenye amani na Mafanikio
tele..........wote tuseme Aaaamen!
|
0 comments:
Post a Comment